Syntropic Agroforestry Comes To Kakuma

Spread the love

By Kadjosi Matabishi

I was so grateful for the opportunity to go to Rusinga to learn Syntropic Agroforestry, which I think will be very helpful here in Kakuma.

Not only will it help every refugee to grow vegetables and have a better diet, creating a forest will also promote a better air and climate.

Now I am able to teach my fellow refugees in collaboration with two other Kenyans and I would like nothing better than to open up this knowledge to other residents of Kakuma and to those living in Kalobeyey, both of which are located in a desert.

Nilishukuru sana kupata nafasi ya kwenda Rusinga kujifunza Syntropic Agroforestry, ambayo nadhani itasaidia sana hapa Kakuma.

Sio tu kwamba itasaidia kila mkimbizi kulima mboga mboga na kuwa na chakula bora, kujenga msitu pia kukuza hewa bora na hali ya hewa.

Sasa nina uwezo wa kuwafunza wakimbizi wenzangu kwa ushirikiano na Wakenya wengine wawili na singependa lolote zaidi ya kuwafungulia wakaazi wengine wa Kakuma ujuzi huu na wale wanaoishi Kalobeyey, ambao wote wako jangwani.

Leave a Reply

%d bloggers like this: